Fudan kumwaga neema ZAHRI
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi Ya Utafiti wa Afya akipokea Zawadi kutoka kwa Prof ZhengHong Yuan wa Chuo cha FUDAN kutoka Shanghai China. Na Salum Vuai Wizara ya Afya Zanzibar na Chuo Kikuu cha Fudan cha Jamhuri ya Watu wa China. zimeahidi kuimarisha ushirikiano utakaotoa fursa zaidi za masomo kwa wafanyakazi wa kada mbalimbali za afya …