ANNOUNCEMENTS

Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar (ZAHRI) imeanzishwa kwa Sheria Nambari 5 ya Mwaka 2020 kwa lengo la kuiwezesha na kuongeza nguvu utekelezaji wa majukumu ya Taasisi.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar (ZAHRI) kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar (ZAHRI), anatangaza nafasi za kazi kwa kada mbali mbali kwa wazanzibari wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

TANGAZO LA KAZI TAASISI YA UTAFITI WA AFYA (ZAHR)-2023.

 

Zanzibar Health Research Institute (ZAHRI) is a public health research Institute based in Zanzibar. ZAHRI is implementing Zanzibar Antibiotic Treatment Of Childhood Infections to Improve Health Outcomes (ZAN-TOTO) Project which aims to optimizing the use of antibiotics in the management of childhood infections in Zanzibar. ZAHRI is seeking dedicated full-time research assistants to take part in data collection for the C-reactive Protein (CRP)testing trial which is a sub study in the ZAN-TOTO Project.

  1. Research Assistant
  2. Sub Supervisor

 

TAASISI YA UTAFITI WA AFYA ZANZIBAR (ZAHRI) INAWATANGAZIA WAOMBAJI WOTE WA KAZI WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI USAILI WA MAANDISHI, KWAMBA USAILI HUO UTAFANYIKA CHUO CHA UTAWALA WA UMMA (IPA) SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 13/01/2024 SAA 2:00 KAMILI ASUBUHI. ORODHA YA WASHIRIKI HAO INAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA ZAHRI PAMOJA NA MBAO ZA MATANGAZO (NOTES BORD) ZILIZOPO ZAHRI.

 

AIDHA, WASHIRIKI HAO WATATAKIWA KUJA NA NYARAKA ZIFUATAZO:-
  1. VYETI HALISI (ORIGINAL) VYA KUMALIZIA MASOMO, CHETI CHA KUZALIWA NA KITAMBULISHO CHA MZANZIBARI MKAAZI (ZAN ID).
  2. WASHIRIKI WALIOSOMA NJE YA NCHI WATATAKIWA WAJE NA ITHIBATI YA TCU.
Kuangalia Orodha ya washiriki Bonyeza:DOWNLOAD