Makamu wa Pili Mhe Hemed afungua Maabara
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla amesema shabaha kubwa ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kuwapatia huduma Bora wananchi wake pamoja na kuhakikisha huduma za Afya zinaboreshwa. Akiyasema hayo huko Binguni Wilaya ya Kati Unguja wakati wa ufunguzi wa Jengo la Maabara ya Utafiti na Upimaji wa Virusi vya uviko …